Bishop Gwajima: Karama & Wito wa Mungu Hauna Majuto 🔥!| Wanadamu wanaweza kukunyang'anya walichokupa
Автор: Siri za Ufalme
Загружено: 2025-12-15
Просмотров: 3358
Bishop Gwajima afundisha kuwa karama na wito wa Mungu hauna majuto. Mungu akishakupa kitu, hakunyang’anyi kama wanadamu. Ujumbe wa kukutia nguvu, kukuondoa hofu na kukuthibitishia kuwa Mungu anasimama na kile alichoweka ndani yako.
#motivation #viral #MunguHabadiliki #GospelTanzania #UjumbeWaNguvu #ChristianTok #Faith #TrendingGospel#video
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: