MAAZIMIO NA MAAGIZO YA MHE DC BUSWELU KWA WAZAZI NA WALIMU
Автор: HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA
Загружено: 2025-11-06
Просмотров: 576
MAAZIMIO NA MAAGIZO YA MHE DC BUSWELU KWA WAZAZI NA WALIMU
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe Onesmo Buswelu amefanya kikao kazi na watendaji mbalimbali ili kuweka mikakati mizuri ya kuhudumia wananchi.
Katika kikao hicho kilichowakutanisha Watendaji wa Kata, Watendaji wa Vijiji vya Ifukutwa, Igalula na Mchakamchaka, wenyeviti wa vijiji pamoja na Afisa Elimu ajenda kubwa ilikuwa ni hali ya wanafunzi kurejea masomoni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: