Party Aliyoandaliwa Wema na Monalisa, Balaa!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-05-09
Просмотров: 24708
Party Aliyoandaliwa Wema na Monalisa, Balaa!
Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wamemuandalia hafla fupi msanii mwenzao, Wema Sepetu, ya kumpongeza kutokana na tuzo alizoshinda kwenye tuzo za sinema zetu zilizoandaliwa na Azam TV.
Aidha pati hiyo inamhusu pia muigizaji, Monalisa, ambaye naye alishinda tuzo huko nchini Ghana katika kipengele cha muigizaji bora wa kike Afrika.
Wema na Monalisa wamewashukuru sana wasanii wenzao kwa hafla hiyo na pia wamesema wameyasikia maneno maneno ya baadhi ya wasanii wengine walioponda wao kupata tuzo hizo, lakini wanazichukulia kama changamoto tu kwenye maisha kwani huwezi kupendwa na kila mtu.
Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: