Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mjamzito fahamu Madhara ya kunywa Soda katika kipindi cha Ujauzito!?.

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2022-01-23

Просмотров: 48952

Описание:

JE SODA INA MADHARA KWA MJAMZITO?

Unywaji Soda kwa Mjamzito ambao usio wa mara kwa mara hauna shida yoyote kwa Mjamzito asiye na Ugonjwa wa Kisukari au Presha!.

Unywaji wa Soda wa mara kwa mara au kila siku katika kipindi cha Ujauzito hata kama Mjamzito hana Magonjwa ya Kisukari au Presha huweza kupelekea Mtoto aliyeko Tumboni kuja kupata Shida ya Pumu hapo badae katika maisha yake.
Kuna baadhi ya Soda huwa na Caffeine kiwango cha 35mg hadi 55mg ndani yake ambapo Caffeine huwa na madhara endapo Mjamzito atazidisha kiwango cha zaidi ya 200mg kwa siku ambapo Caffeine huweza kupenya na kuingia kwa Mtoto kupitia Kondo la nyuma na kuleta athari kwa Mtoto aliyeko Tumboni mfano: Kujifungua Mtoto mwenye Uzito chini ya 2.5kg au kujifungua kabla ya wakati wa Kujifungua(Chini ya Wiki 37).

Soda ambazo hazina Caffeine huweza kupelekea ongezeko la Uzito zaidi kwa Mjamzito ambao huleta changamoto katika kipindi cha Ujauzito na wakati wa kujifungua, hivyo pia haifai kunywa Soda aina yoyote mara kwa mara au kila siku katika kipindi cha Ujauzito.

Mjamzito mwenye Ugonjwa wa Kisukari(Gestational Diabetes / DM type 1/2) au Mwenye Dalili za mwanzoni za kuelekea kupata Ugonjwa wa Kisukari (Pre-Diabetes) haruhusiwi kabisa kutumia Soda katika kipindi chochote cha Ujauzito kwa sababu huweza kupelekea Ongezeko kubwa la Sukari mwilini mwake na kuleta athari kwake na Mtoto aliyeko Tumboni. Mfano Mtoto kuwa na zaidi ya kilo 4 kipindi cha Kujifungua na kupelekea kujifungua kwa njia Upasuaji na Mtoto kuweza kuwa kwenye hatari ya kupungukiwa kwa Sukari haraka Mwili mwake baada ya Kuzaliwa hivyo hutakiwa kuwekwa kwenye chumba cha joto ili kuongezewa Maji yenye Sukari kwa muda fulani.

Mjamzito mwenye Presha ya Muda Mrefu(Chronic/Essential Hypertension) au Presha ya Ujauzito (Gestational Hypertension) endapo atatumia Soda zenye Caffeine huweza kupelekea ongezeko kubwa la Presha na mapigo ya Moyo kwenda mbio hivyo si vema kutumia Soda hizo huweza kupelekea changamoto katika Ujauzito wake na Presha au Shinizo kubwa la Damu yake(Hypertension).

Mjamzito yeyote haruhusiwi kutumia Vinywaji vyenye Sukari nyingi kwa sababu tafiti zinaonesha kwamba Wajawazito wanaotumia zaidi Vinywaji vyenye Sukari nyingi huweza kupelekea Mtoto atakaye zaliwa kuwa Upungufu wa uelewa na Upungufu wa jinsi ya kutamka na Shida ya Pumu(Asthma) katika maisha yake ya badae,

JE MJAMZITO AKINYWA SODA ZA DIET HUPATA MADHARA?
Utumiaji wa Soda za Diet usio wa mara kwa mara hauna shida yoyote kwa Mjamzito.

Utumiaji mbaya au zaidi ya Soda za Diet 4 kwa siku katika kipindi cha Ujauzito huweza kupelekea baadhi ya madhara kwa Mjamzito mfano; Kujifungua Mtoto kabla ya wakati wa kujifungua hivyo huweza kupelekea Mtoto kuwekwa kwenye chumba cha Joto kwa muda mrefu au Mtoto kupata Changamoto mbalimbali kutoka na Kuzaliwa kabla ya wakati.
Hivyo si vema kutumia Soda za Diet zaidi ya Soda 4 kwa siku huweza kupelekea changamoto hizo.

JE UNATAKIWA KUNYWA VITU GANI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO?.

1. Maji safi na Salama.
Mjamzito unatakiwa kunywa Maji safi na Salama angalau Lita 1.5 hadi Lita 2 kila siku, Unywaji Maji huweza kuongezea Maji mwilini na pia hupunguza changamoto za Ujauzito mfano, kupunguza kupata Choo kigumu.

2. Juisi ya Matunda na Mboga Mboga.
Mjamzito unaweza kunywa Juisi ya Matunda au Mboga Mboga ya kiasili iliyoandaliwa katika Mazingira ya Usafi wa hali ya juu, Juisi ya Matunda huweza kuongeza Maji mwilini mwako, Vitamini na Madini mbalimbali katika kipindi chako cha Ujauzito bila kuathiri Afya ya Mtoto aliyeko Tumboni mwako.

3. Chai ya rangi.
Mjamzito unaweza ukatumia kiasi kidogo cha chai angalau kikombe kimoja cha chai husaidia kuchangamsha mwili wako, lakini kwa Mjamzito ambaye anakaribia kujifungua huweza kuongeza Uchungu wa Kujifungua, usinywe chai nyingi katika kipindi cha Ujauzito kwa sababu huweza kuwa na kiasi kingi cha Caffeine ambayo huweza kuleta athari kwa Mtoto aliyeko Tumboni mwako.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...

#MadharaYaSoda
#DrMwanyika
#MamaAfya

Mjamzito fahamu Madhara ya kunywa Soda katika kipindi cha Ujauzito!?.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!!

Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!!

Анальный секс - это вредно? Проктолог про геморрой и вред туалетной бумаги. ЮЛЯПИЛЮЛЯ

Анальный секс - это вредно? Проктолог про геморрой и вред туалетной бумаги. ЮЛЯПИЛЮЛЯ

Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito

Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito

Ночные пробуждения в 3–4 часа: как найти причину и вернуть глубокий сон.

Ночные пробуждения в 3–4 часа: как найти причину и вернуть глубокий сон.

Преддиабет: 9 симптомов, по которым тело кричит «остановись».

Преддиабет: 9 симптомов, по которым тело кричит «остановись».

JE MADHARA YA PILIPILI KWA MJAMZITO NI YAPI??| MADHARA NA FAIDA ZA PILIPILI MJAMZITO NI ZIPI?

JE MADHARA YA PILIPILI KWA MJAMZITO NI YAPI??| MADHARA NA FAIDA ZA PILIPILI MJAMZITO NI ZIPI?

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

Акунин ошарашил прогнозом! Финал войны уже решён — Кремль скрывает правду

Акунин ошарашил прогнозом! Финал войны уже решён — Кремль скрывает правду

Ukifanyiwa upasuaji wa kuzaa mtoto.. mshono gani wa nje ndio wakuzingatia?

Ukifanyiwa upasuaji wa kuzaa mtoto.. mshono gani wa nje ndio wakuzingatia?

Je Ulaji Chips Mayai Kwa Mjamzito Huwa Na Madhara Gani? (Je Mjamzito Anaruhusiwa Kula Chips)?

Je Ulaji Chips Mayai Kwa Mjamzito Huwa Na Madhara Gani? (Je Mjamzito Anaruhusiwa Kula Chips)?

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

⚡️ Путин призвал армию к штурму || Генералы заявили о поражении войск?

⚡️ Путин призвал армию к штурму || Генералы заявили о поражении войск?

Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.

Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.

Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)

Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)

Je Ulaji WA Mayai Kwa Mjamzito NI Hatari?? (Je Madhara Ya Mayai Kwa Mjamzito/Ktk Ujauzito NI Yapi)?.

Je Ulaji WA Mayai Kwa Mjamzito NI Hatari?? (Je Madhara Ya Mayai Kwa Mjamzito/Ktk Ujauzito NI Yapi)?.

МОШЕННИКИ ИЗ СБЕРБАНКА ПОПАЛИ НА ЮРИСТА! Полный разговор!

МОШЕННИКИ ИЗ СБЕРБАНКА ПОПАЛИ НА ЮРИСТА! Полный разговор!

99% не знают откуда берётся запах старости! Раскрыли настоящую причину, почему от них так пахнет

99% не знают откуда берётся запах старости! Раскрыли настоящую причину, почему от них так пахнет

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Вы зря травите себя антибиотиками! Хеликобактер при ГАСТРИТЕ боится только одного...

Вы зря травите себя антибиотиками! Хеликобактер при ГАСТРИТЕ боится только одного...

6 привычек, которые вызывают слабость в ногах и ускоряют саркопению в пожилом возрасте

6 привычек, которые вызывают слабость в ногах и ускоряют саркопению в пожилом возрасте

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]