Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

REV. DR. ELIONA KIMARO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO

Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Загружено: 2023-11-10

Просмотров: 6804

Описание:

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 10/11/2023.

KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
"A SENSE OF PURPOSE"

NENO KUU
UNAFANYA NINI HAPA?
WHAT ARE YOU DOING HERE?
NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
1 Wafalme 19 : 9

UNAFANYA NINI HAPA?

UJUMBE WA LEO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO
(A SENSE OF PURPOSE ATTACK)
MAAPIZO YA KICHAWI

Isaya 42 : 22
1 Wafalme 19 : 1 - 5, 15 - 17
2 Wafalme 9 : 30 - 37

Isaya 42 : 22i

22 Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.

Hesabu 22 : 1 - 7

1 Kisha wana wa Israeli wakasafiri na kupanga katika nchi tambarare za Moabu ng'ambo ya pili ya Yordani karibu ya Yeriko.

2 Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.

3 Moabu akawaogopa hao watu sana, kwa kuwa walikuwa wengi; Moabu akafadhaika kwa sababu ya wana wa Israeli.

4 Moabu akawaambia wazee wa Midiani, Sasa jeshi hili la watu litaramba vitu vyote vinavyotuzunguka, kama vile ng'ombe arambavyo majani ya mashamba. Na Balaki, mwana wa Sipori, alikuwa mfalme wa Moabu zamani zile.

5 Basi akatuma wajumbe kwa Balaamu mwana wa Beori, hata Pethori, ulio kando ya Mto, mpaka nchi ya wana wa watu wake, kwenda kumwita, akisema, Tazama, kuna watu waliotoka Misri; tazama, wanaufunika uso wa nchi, tena wanakaa kunikabili mimi.

6 Basi, njoo wewe, nakusihi unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitawaweza, tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye umbarikiye hubarikiwa, na yeye umlaaniye hulaaniwa.

7 Wazee wa Moabu, na wazee wa Midiani, wakaenda, wakichukua ujira wa uganga mikononi mwao; wakamfikilia Balaamu, wakamwambia maneno ya Balaki.

Mhubiri : Mch. Dr. Eliona Kimaro

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

REV. DR. ELIONA KIMARO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

"IMANUELI: MUNGU PAMOJA NASI" (EMMANUEL: GOD WITH US) / REV. DR. ELIONA KIMARO

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II

LIVE NOW 🔴 JOEL MELAU - KUOMBEA KITI CHAKO CHA ENZI KIMKAKATI NA KIMAONO - 27/12/2025

LIVE NOW 🔴 JOEL MELAU - KUOMBEA KITI CHAKO CHA ENZI KIMKAKATI NA KIMAONO - 27/12/2025

⚡️ Флот РФ ударил по Киеву || Зеленский предложил Путину сделку

⚡️ Флот РФ ударил по Киеву || Зеленский предложил Путину сделку

MADHARA YA ROHO ZA UZINZI ZINAA NA UASHERATI

MADHARA YA ROHO ZA UZINZI ZINAA NA UASHERATI

🔴 #LIVE: ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA BEACHMASS KWA VIJANA  2025- JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO.

🔴 #LIVE: ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA BEACHMASS KWA VIJANA 2025- JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO.

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE

AMKA NA BBC SWAHILI LEO JUMAMOSI TAR,27.12.2025

AMKA NA BBC SWAHILI LEO JUMAMOSI TAR,27.12.2025

UDHAMINI WA MDHAMINI KI-SADAKA -2

UDHAMINI WA MDHAMINI KI-SADAKA -2

Warioba amzunguzia captain Tesha. Mbarikiwa amsifu na kumlipua mzee Butiku

Warioba amzunguzia captain Tesha. Mbarikiwa amsifu na kumlipua mzee Butiku

REV. DR. ELIONA KIMARO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO

REV. DR. ELIONA KIMARO: SHAMBULIO LA KUSUDI LA KUWEPO KATIKA MAISHA YAKO

REV. DR. ELIONA KIMARO: NGUVU NA UWEZO ULIOLALA- SLEEPING GIANT

REV. DR. ELIONA KIMARO: NGUVU NA UWEZO ULIOLALA- SLEEPING GIANT

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA SIKUKUU YA KRISMASI 25 DISEMBA 2025

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA SIKUKUU YA KRISMASI 25 DISEMBA 2025

MZEE WARIOBA ALIANDALIWA KUWA RAISI WA MPITO NCHINI TANZANIA

MZEE WARIOBA ALIANDALIWA KUWA RAISI WA MPITO NCHINI TANZANIA

#LIVE: ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA DIASPORA JIMBO KATOLIKI BUKOBA

#LIVE: ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA DIASPORA JIMBO KATOLIKI BUKOBA

REV. DR. ELIONA KIMARO: MWAKA MPYA, MTU MPYA/ WEWE NI TOLEO JIPYA/ NEW VERSION

REV. DR. ELIONA KIMARO: MWAKA MPYA, MTU MPYA/ WEWE NI TOLEO JIPYA/ NEW VERSION

Господе Исусе Христе, Сине Божији, помилуј ме грешног

Господе Исусе Христе, Сине Божији, помилуј ме грешног

HABARI NJEMA  (GOOD NEWS) REV. DR. ELIONA KIMARO

HABARI NJEMA (GOOD NEWS) REV. DR. ELIONA KIMARO

REV. DR. ELIONA KIMARO: GOD WILL USE YOU

REV. DR. ELIONA KIMARO: GOD WILL USE YOU

REV. DR. ELIONA KIMARO: MWAKA WA HABARI NJEMA/ UZALISHAJI/ PRODUCTION

REV. DR. ELIONA KIMARO: MWAKA WA HABARI NJEMA/ UZALISHAJI/ PRODUCTION

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]