AZAM FC TV 13/01/2026 | Simulizi ya kusisimu ya Nassor Saaduni wa Azam FC
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 960
SAFARI YA SOKA YA SAADUNI: “KMC nilikaa msimu mzima, nilicheza sijui dakika 20”
Mshambuliaji wa Azam FC, Nassor Saaduni amefunguka safari yake ya soka ambayo imeonekana kuwa na kupanda na kushuka jambo ambalo lingeweza kumfanya aachane na soka.
Nyota huyo ametaja klabu alizopita ikiwemo KMC ambapo anasema alikaa msimu mzima lakini aliitumikia kwa dakika takribani 20 tu.
Saaduni anasema katika maisha yake ya KMC, iliwahi kutokea mchezaji Awesu Ali Awesu aliwahi kugombana na kocha wa timu hiyo katika harakati za kushinikiza nyota huyo kupata nafasi.
#AzamFCTV #Saaduni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: