Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Brigadia Mwita Marwa (Kamanda Kambale) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Автор: Tulipotoka Zamani

Загружено: 2024-02-01

Просмотров: 56449

Описание:

Hapa alikuwa kashapandishwa cheo na kuwa Meja Jenerali na kupewa jukumu la kuongoza Brigedi namba 207 na 208 kwa pamoja. Huku mdomoni akiwa anavuta Kiko na kushangiliwa na wananchi walipoingia katika mji wa Jinja nchini Uganda baada ya vikosi alivyoviongoza kuuteka mji huo. Aliongea kwa muda mfupi na waandishi wa habari wa kimataifa na kuwajulisha kuwa wana taarifa kuwa Idi Amin na vikosi vyake wamekimbilia katika mji wa Arua, na wao walikuwa njiani kuelekea huko ili kumaliza kazi. Hii ilikuwa ni mwezi April mwaka 1979 wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda.

Brigadia Mwita Marwa (Kamanda Kambale) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Majenerali Wa Jeshi Wastaafu Wamwelezea Jenerali Mstaafu Mwenzao David Musuguri

Shujaa aliyelala chumba cha Idi Amin wa Uganda  aeleza mazito

Wafahamu Makamanda 20 wa JWTZ Walioongoza Vita ya Kagera | Historia | Siku ya Mashujaa Tanzania

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Ukweli wa Idd Amin Alivyoikimbia Uganda Vita vya Kagera | Inatisha, Ina Huzunisha Sana

Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali David Musuguri - Vita vya Kagera.

«ОРЕШНИК» ГОТОВ. НАТО в панике? | Константин Сивков

SURA ZA KUTISHA, MAKOMANDOO, SNIPER WAKIINGIA MBELE YA RAIS SAMIA WENGINE WAKINING'INIA JUU YA GARI

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

Знаменитости, УМЕРШИЕ в 2025 году

MZEE WARIOBA ALIANDALIWA KUWA RAISI WA MPITO NCHINI TANZANIA

SIKILIZA MAJIBU YA PADRI KITIMA KWA SHEHE ALIYE IBUA HOJA YA KATOLIKI KUTAKA MASLAHI KWENYE SERIKALI

Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili

Kanali Mamadou Ndala: SHUJAA na Mwanajeshi hatari wa DRC aliyeuawa, M-23 hawatasahau alichowafanya

VITA VYA KAGERA: MASHUHUDA WASIMULIA  UVAMIZI WA IDI AMIN MIAKA 43 ILIYOPITA

KILICHOMPATA KANALI ALI MAHFOUDH NA KUFUKUZWA NCHINI-MAELEZO YA MKEWE BI. NAILA JIDDAWI

Jeshi la Tanzania Laonesha Silaha Zake za Kivita: Kuanzia Vifaru Mpaka Ndege Vita

MZEE MIHANGWA MAHOGO AMUANGUKIA RAIS SAMIA KUHUSU WIZI WA MIFUGO

🔴#LIVE : ILIVYOKUWA VITA YA KAGERA NA UGANDA MSIMULIAJI DENIS MPAGAZE NA ANANIASI EDIGAR

USIYOYAJUA KUHUSU WAZIRI BASHUNGWA: WIZARA 8 NDANI YA MIAKA 6, HIZI NDIZO ALAMA ALIZOACHA ALIKOPITA

HUYU HAPA CDF WA KWANZA JWTZ Afunguka Alivyomtetea Gen Musuguri kwa Jeshi la Wakoloni

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]