Njia muhimu za kulima pilipili za rangi katika green house
Автор: PROMO ONLINE TV
Загружено: 2024-01-15
Просмотров: 86
Kilimo kinacholimwa katika green house kina faida kubwa kwa mkulima, kwanza kinachukua eneo dogo lakini pia matumizi ya maji ni madogo lakini zao haliathiriki na wadudu.
Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: