Waziri Mashimba Ndaki ataka wafugaji wakorofi wakamatwe Lindi
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-07-03
Просмотров: 2118
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemtaka mkuu wa mkoa wa Lindi, Zainab Telack kuwakamata wafugaji wote wanaowapiga wakulima na kulisha mifugo yao katika mashamba yenye mazao.
Ndaki alitoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake ya kusikiliza na kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima katika wilaya za Kilwa na Liwale, mkoani Lindi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: