ZUMARI || Kamanda Abdallah W. Mssika mshindi wa tuzo ya nishani ya vita vya Kagera
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-05-09
Просмотров: 14320
Amewahi kuwa mkuu wa Uhusiano kwa Umma Makao Makuu Dar es Salaam -Mstaafu
Amewahi pia kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera na Shinyanga
Ni miongoni mwa Makanda wa mwanzo kuanzisha Kanda Maalum ya Kipolisi Dar es Salaam.
Miongoni mwa washiriki wa vita ya Kagera na kutunukiwa nishani ya vita
-Akiwa RCO Kituo cha Polisi Osterbey ndie aliyeongoza polisi kuweka Ulinzi kwenye tukio la kulipuliwa Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: