ZUMARI | Aden Rage akumbushia mkasa usajili wa Mbuyu Twite aliyedakwa na Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-07-18
Просмотров: 5551
“Nikawapiga tano bila” maneno ya Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Aden Rage akisimulia mkasa wa usajili wa Mbuyu Twite beki wa zamani wa Yanga SC, ambaye usajili wake ulizua gumzo.
Mahojiano haya yamefanywa na mtangazaji Jafari Mponda wa kipindi cha Zumari.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: