AJALI DARAJA LA MAGUFULI: FUNDI AFARIKI USIKU WA MANANE, MTAMBO WA MIZIGO WAZAMA, RC AELEZEA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-02-13
Просмотров: 26640
AJALI DARAJA LA MAGUFULI: FUNDI AFARIKI USIKU WA MANANE, MTAMBO WA MIZIGO WAZAMA, RC AELEZEA..
Dereva wa Kuendesha mtambo wa kunyanyulia mizigo kwenye ujenzi wa daraja la JPM linaloendelea kujengwa katika ziwa Victoria kati ya Kigongo - Busisi mkoani Mwanza, amefariki dunia baada ya Crane aliyokuwa akiiendesha kuangukia kwenye ziwa hilo.
Akizungumzika katika tukio hilo kamanda wa zimamoto na Uokoaji mkoa wa Mwanza (SACF) Ambwene Mwakibete, amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nane usiku wakati akiendelea na kazi ya ujenzi wa daraja hilo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: