Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

JINSI YA KUPIKA VITUMBUA RAHISI SANA/HOW TO MAKE VITUMBUA

Автор: Mziwanda Bakers

Загружено: 2020-04-25

Просмотров: 110123

Описание:

Nimeelekeza Jinsi Ya Kuanza Kuandaa Uji Wa Vitumbua Na Namna Ya Kuumua Na Kuvichoma Hatua Kwa Hatua.

-Osha Mchele Kisha Utoe Kwenye Maji,Acha Ujiloeke Wenyewe Kwa Saa Moja. Usiache Ukauke Kabisa Kisha Usage Uwe Unga.
-Koroga Uji Wa Mahindi Kisha Upooze Utakuwa Uji Mzito Sana Ukipoa Ndio Tunahitaji Hivyo.
-Uji Ukipoa Vizuri,Weka Unga Wa Mchele Pamoja Na Unga Wa Ngano Kisha Songa Kama Ugali,Hakikisha Unasonga Vizuri.Kisha Weka Maji Kiasi Kupata Uzito Sahihi Kisha Weka Hamira Acha Ika Kwenye Utulivu Masaa 3 Hadi 6.Itakuwa Tayari Kwa Kuweka Viungo.
-Weka Sukari,Mayai,Hiliki Kisha Koroga Vizuri Tayari Kwa Kuchoma Vitumbua Vyako.
-Choma Kwa Kufuata Maelekezo Ya Video

Karibu Sana Mziwanda Bakers
Tembelea Video Zetu Nyingine Tofauti Kwa Kujipatia Elimu Na Ufahamu Zaidi Juu Ya Mapishi Na Maisha.

Instagram:mziwanda_bakers

JINSI YA KUPIKA VITUMBUA RAHISI SANA/HOW TO MAKE VITUMBUA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Jinsi ya kupika VITUMBUA vitamu kwaajili ya FAMILIA yako | Pika na Babysky

Jinsi ya kupika VITUMBUA vitamu kwaajili ya FAMILIA yako | Pika na Babysky

Я приготовила любимые мини-рисовые лепешки моей семьи из Танзании — МЯГКИЕ РИСОВЫЕ ЛЕПЕШКИ

Я приготовила любимые мини-рисовые лепешки моей семьи из Танзании — МЯГКИЕ РИСОВЫЕ ЛЕПЕШКИ

MAANDAZI YA NAZI

MAANDAZI YA NAZI

JIFUNZE KUPIKA VISHETI VYA SUKARI LAINI NA VITAMU BALAAH

JIFUNZE KUPIKA VISHETI VYA SUKARI LAINI NA VITAMU BALAAH

Vitumbua Vya Unga wa Mchele / Rice Flour Cakes Recipe /Vitumbua Recipe /Tajiri's Kitchen

Vitumbua Vya Unga wa Mchele / Rice Flour Cakes Recipe /Vitumbua Recipe /Tajiri's Kitchen

JINSI YA KUPIKA VITUMBUA VITAMU

JINSI YA KUPIKA VITUMBUA VITAMU

KALIMATI RECIPE/KAIMATI

KALIMATI RECIPE/KAIMATI

Как приготовить мягкие и пышные чапати | Мягкие слоёные чапати | Паратха | Роти

Как приготовить мягкие и пышные чапати | Мягкие слоёные чапати | Паратха | Роти

Jinsi ya kupika vitumbua laini sana kirahisi na tamu sana | Rice cakes recipe

Jinsi ya kupika vitumbua laini sana kirahisi na tamu sana | Rice cakes recipe

Jinsi ya Kupika Vitumbua Laini Kiurahisi (Swahili)

Jinsi ya Kupika Vitumbua Laini Kiurahisi (Swahili)

Jinsi Ya Kupika Vitumbua Laini Bila Ya Kuroeka Mchele Usiku kucha! | Mapishi Rahisi Ya Kiswahili

Jinsi Ya Kupika Vitumbua Laini Bila Ya Kuroeka Mchele Usiku kucha! | Mapishi Rahisi Ya Kiswahili

Сын миллиардера родился ГЛУХИМ — пока уборщица не достала что-то, что его ПОРАЗИЛО

Сын миллиардера родился ГЛУХИМ — пока уборщица не достала что-то, что его ПОРАЗИЛО

Mapishi ya chilla Tamuu za Tanga (Simple and delicious Rice pancakes Recipes)

Mapishi ya chilla Tamuu za Tanga (Simple and delicious Rice pancakes Recipes)

jinsi ya kupika visheti vya no 8 hatua kwa hatua rahisi sana #visheti

jinsi ya kupika visheti vya no 8 hatua kwa hatua rahisi sana #visheti

jinsi ya kupika vitumbua vya biyashara kwa urahisi|how to cook ricepancake recipe.

jinsi ya kupika vitumbua vya biyashara kwa urahisi|how to cook ricepancake recipe.

Jinsi ya kupika Vitumbua bila Nazi /Tui

Jinsi ya kupika Vitumbua bila Nazi /Tui

NIMEJENGA NYUMBA KWA KUUZA VITUMBUA MR KAMKONO | Mr Balozi S1E1

NIMEJENGA NYUMBA KWA KUUZA VITUMBUA MR KAMKONO | Mr Balozi S1E1

jinsi  ya kupika maandazi ya nazi na hiliki matam sana

jinsi ya kupika maandazi ya nazi na hiliki matam sana

Jinsi yakupika vitumbua vya mchele vitamu sana na vilaini/Vitumbua vya mchele /Rice cake recipe

Jinsi yakupika vitumbua vya mchele vitamu sana na vilaini/Vitumbua vya mchele /Rice cake recipe

VITUMBUA VYA KISWAZI/ jinsi ya kupika Vitumbua

VITUMBUA VYA KISWAZI/ jinsi ya kupika Vitumbua

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]