Ziara ya Rais wa Tanzania nchini Burundi. Hivi ndivyo alivyopokelewa uwanja wa ndege mjini Bujumbura
Автор: Mashariki TV
Загружено: 2021-07-16
Просмотров: 75064
Rais wa Tanzania Samia Suluhu yuko kwenye ziara ya kikazi nchini Burundi. Alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Melchior NDADAYE mjini Bujumbura alipokelewa na makamo wa rais wa Burundi Prosper Bazombanza na kulakiwa kwa shangwe na wakaaji wa mjini Bujumbura.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: