Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa ikulu ya Burundi na kukagua vikosi vya ulinzi
Автор: Mashariki TV
Загружено: 2021-07-16
Просмотров: 54824
Katika ziara yake nchini Burundi; rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipiokelewa ikulu na kuzungumza na mwenyeji wake rais Evariste NDAYISHIMIYE. Shuhudia jinsi za mapokezi zilivuokuwa na zoezi la kukagua vikosi vya ulinzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: