'Sina hisia, lakini Jane hakuniangalia kama mzigo'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-07-25
Просмотров: 53923
Kwa miaka 11 sasa, Brian Waihenya amekuwa akitumia kiti mwendo baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyoumiza uti wa mgongo na kumbadilishia kabisa mwelekeo wa maisha.
Mke wake Jane Karumbi alimkubali na kumuonesha mapenzi bila kujali hali yake ya ulemavu.
Lakini je walikutana wapi na ilikuwa rahisi kiasi gani kwa wazazi na jamii kuwaelewa ?
Wameongea na mwandishi wa BBC Hamida Abubakar.
#bbcswahili #kenya #ulemavu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: