'Nilipokonywa mume wangu na dada wa kazi za nyumbani' Waridi wa BBC
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2020-04-22
Просмотров: 222834
Justina Syokau alifunga ndoa na mwanamume ambaye alikuwa amemuwinda kimapenzi kwa muda mrefu.
Ilikuwa Juni, 2012, walipofunga pingu za maisha katika harusi iliyojaa mbembwe na bashasha, asijue kuwa ndoa hiyo itakuwa ya muda mfupi tu na iliyojaa pandashuka chungu nzima.
Justina Syokau ndiye mgeni wetu wiki hii kastika Waridi wa BBC ambapo tunajadili dhuluma za nyumbani
#WaridiwaBBC
#Ndoa
#dhulma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: