Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Ndege Iliyowabeba Watoto wa Lucky Vincent Ikitua Kutoka Marekani

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-08-18

Просмотров: 257850

Описание:

SUBSCRIBE NOW    / @globaltv_online  
WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani, tayari wamewasili leo asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mjini Moshi na kupokelewa na mamia ya Watanzania.
Doreen, Sadia na Wilson walikuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Mercy, Sioux City nchini Marekani wamewasili kwa ndege ya Samaritan's Purse wakitokea nchini humo baada ya kupata nafuu. Wametua Tanzania wakiwa wenye furaha na faraja kubwa.
Mamia ya wakazi wa Arusha, wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, wanafunzi wenzao na viongozi mbalimbali wa serikali wamefika kwa ajili ya kuwapokea watoto hao. Baadhi ya viongozi hao ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, Mbunge Lazaro Nyarandu makatibu tarafa wa mikoa na viongozi wa wilaya za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Wametua nchini wakiwa na wazazi wao, madaktari na watalii waliowaokoa siku ya tukio ikiwa ni jumla ya wajumbe 16.

Watoto hao ni miongoni mwa wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent walionusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Arusha mwezi Mei mwaka huu, ambapo inakadiriwa idadi ya waliopoteza maisha ni 33 ikijumuisha wanafunzi na walimu waliokuwa katika gari hilo.

Mtandao wa Global Publishers unawashukuru madaktari na kila aliyetenga muda wake kuwaombea na kuchangia chochote kusaidia matibabu ya watoto hao.

Ndege Iliyowabeba Watoto wa Lucky Vincent Ikitua Kutoka Marekani

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

ETIHAD AIRBUS A380 Takeoff Abu Dhabi | Flight Deck GoPro View

ETIHAD AIRBUS A380 Takeoff Abu Dhabi | Flight Deck GoPro View

MFAHAMU STAR WA KAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA, USIMCHUKULIE POA

MFAHAMU STAR WA KAMBI YA WAKIMBIZI KIGOMA, USIMCHUKULIE POA "NAJUA KUIMBA, NAMFUATA DIAMOND

NDEGE Mpya IKITUA Muda Huu AIRPORT

NDEGE Mpya IKITUA Muda Huu AIRPORT

30 BIG PLANE TAKEOFFS from ABOVE | Plane Spotting at Hong Kong Airport [HKG/VHHH]

30 BIG PLANE TAKEOFFS from ABOVE | Plane Spotting at Hong Kong Airport [HKG/VHHH]

🔴#Live: SIRI IMEFICHUKA NIFFER NA MIKA KUACHIWA HURU / POLISI WATOA TAMKO - MAANDAMANO YATAJWA...

🔴#Live: SIRI IMEFICHUKA NIFFER NA MIKA KUACHIWA HURU / POLISI WATOA TAMKO - MAANDAMANO YATAJWA...

Демонстрационные полеты F-16 Viper над Хьюстоном 2022

Демонстрационные полеты F-16 Viper над Хьюстоном 2022

RAIS DKT.MAGUFULI ASAFIRI KWA KUTUMIA NDEGE BOEING 787-8 DREAM LINER KUEKEA MWANZA

RAIS DKT.MAGUFULI ASAFIRI KWA KUTUMIA NDEGE BOEING 787-8 DREAM LINER KUEKEA MWANZA

💬 Вопрос изъятия замороженных активов РФ: какое решение примет Бельгия?

💬 Вопрос изъятия замороженных активов РФ: какое решение примет Бельгия?

За Секунду До! Круизные Лайнеры Против Гигантских Волн

За Секунду До! Круизные Лайнеры Против Гигантских Волн

ВОТ КАК НА САМОМ ДЕЛЕ ДЕЛАЮТ КОНФЕТЫ M&M'S

ВОТ КАК НА САМОМ ДЕЛЕ ДЕЛАЮТ КОНФЕТЫ M&M'S

«Снег и лед». Поле чудес. Выпуск от 28.11.2025

«Снег и лед». Поле чудес. Выпуск от 28.11.2025

Mungu Mkubwa! Tazama Watoto Walionusurika Lucky Vicent Wakiwasili, Wamepona Kabisa

Mungu Mkubwa! Tazama Watoto Walionusurika Lucky Vicent Wakiwasili, Wamepona Kabisa

Giant Wood Processing Factory Processes Thousand Year Old Trees | An Amazing Sight, Danger Lurks

Giant Wood Processing Factory Processes Thousand Year Old Trees | An Amazing Sight, Danger Lurks

Vilio vyaibuka Lucky Vicent, Wazazi na wanafunzi washindwa kuvumilia

Vilio vyaibuka Lucky Vicent, Wazazi na wanafunzi washindwa kuvumilia

ТОП 10 САМЫХ ОГРОМНЫХ САМОЛЁТОВ В МИРЕ | Гиганты авиации, о которых ты не знал!

ТОП 10 САМЫХ ОГРОМНЫХ САМОЛЁТОВ В МИРЕ | Гиганты авиации, о которых ты не знал!

⚡️Раскрыли ТАЙНЫЙ ПЛАН Трампа по Украине! Уиткофф ПЕРЕДАЛ СИГНАЛ Путину. ЭЙДМАН, ЯКОВЕНКО.ЛУЧШЕЕ

⚡️Раскрыли ТАЙНЫЙ ПЛАН Трампа по Украине! Уиткофф ПЕРЕДАЛ СИГНАЛ Путину. ЭЙДМАН, ЯКОВЕНКО.ЛУЧШЕЕ

70 Невероятных Моментов в Авиации, Снятых на Камеру

70 Невероятных Моментов в Авиации, Снятых на Камеру

Боль Российских Машиностроителей / Высокопрочная сталь и ее качество

Боль Российских Машиностроителей / Высокопрочная сталь и ее качество

🔥

🔥 "СЮЖЕТ" С ОПОЗДАНИЕМ: Путин заставил делегацию Трампа ждать 3,5 часа – объясняет FREEДОМ

Inside the Rolex Gold Factory: From Solid Gold Bar to $50,000 Watch

Inside the Rolex Gold Factory: From Solid Gold Bar to $50,000 Watch

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]