Jinsi ya kufungia tovuti za ngono, mitandao ya kijamii kwenye kompyuta ya mtoto
Автор: ICT yetu
Загружено: 2021-03-22
Просмотров: 1604
http://ajakaiict.net/ictyetu.html
Katika dunia ya leo teknolojia inakua kwa kasi sana, hivyo watoto wanaweza kuharibikiwa kwa wepesi sana wanapoingia mitandaoni na kufungua tovuti ambazo hazina maadili kwao (Kama picha/video za ngono, Habari chafu mitandaoni). Hivyo itapelekea kwa mtoto kupenda zaidi kuperuzi mambo hayo kuliko kusoma elimu anayofundishwa darasani. Watoto wengi kwa sasa hutumia kompyuta majumbani. Ni vema mzazi/mlezi ukatumia mbinu hii ili kumzuia mtoto wako asije akaharibikiwa mapema. Tazama video hii ili uweze kufungia tovuti zote ambazo unazoona hazina maadili.
→ Jiunge kwa kubonyeza Subscribe ili kupata mafunzo mengi zaidi tuliokuandalia kwa kiswahili
➭ AJAKAI ICT TRICK [English Channel]: / @flakmovies
➭ ICT YETU [Swahili Channel]: / @ictyetu
→ Instagram: @ajakaiict
→ Facebook Page: / awadhjamali
→ Website: https://www.ajakaiict.net
→ Online Computer Course: / Канал
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
➭ MSAADA MTANDAONI: [email protected] OR WhatsApp: +255 678 920 112
➭ KWA KIBIASHARA: [email protected]
#vidokezo #simu #mbinu #meseji #maujanja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: