🧹 Wanakwaya wa Mt. Yudathadei Wafanya Usafi Zahanati ya Matalawe.
Автор: Kwaya ya Mt.Yudathadei Njombe
Загружено: 2025-10-15
Просмотров: 116
Leo wanakwaya wa Mt. Yudathadei wakiwa wameungana na waumini wengine wa Parokia ya Njombe, wamefanya shughuli ya usafi katika Zahanati ya Matalawe.
Tukio hili limeonyesha moyo wa umoja, upendo na kujali afya ya jamii.
Kwaya imesisitiza kuwa usafi ni sehemu ya utume wa Kikristo na njia ya kutunza mazingira kama tunavyofundishwa na Kanisa.
👏 Tunawapongeza wote walioshiriki kwa kujitolea muda na nguvu kwa ajili ya manufaa ya jamii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: