Taarab Zanzibar:Abdallah issa-I am Sorry ||oldisgoldzanzibar
Автор: Zanzibar orchestra
Загружено: 2024-05-16
Просмотров: 3428
I AM SORRY
Tafuta wa kuchezea Watu wote sio sare
Mimi kwako kurejea Mimi kwako kurejea
Mimi kwako kurejea Mimi kwako kurejea
Mimi kwako kurejea Nasema I am sorry
Salamu mezipata Hizo ulonitumia
Mjumbeo kazileta Nami nimezipokea
Kaja kwangu kanikuta Kaja kwangu kanikuta
Kaja kwangu kanikuta Mepoa nimetulia
Majibu yako utapata Wewe takufikilia
Sijuti na sitojuta Nnakuhakikishia
Tafuta utompata Tafuta utompata
Tafuta utompata Siketi kuningojea
Utanighilibu nini Nighilibike nirudi
Ulidhani masikini Shida kwangu zimezidi
Sirejei samahani Sirejei samahani
Sirejei samahani Siji nikabisha hodi
Ufisidi mezowea Kuchezesha watu shere
Tafuta wa kuchezea watu wote sio sare
Mimi kwako kurejea Mimi kwako kurejea
Mimi kwako kurejea Nasema I am sorry
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: