7. Darasa la Uaminifu / God's Special School - Shule Maalum Ya Mungu
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-06-24
Просмотров: 102
Karibu tena kwenye mfululizo wetu mpya wa Shule Maalum ya Mungu. Katika darasa la Saba, leo, tunazungumzia kuhusu Uaminifu— somo muhimu sana kwa kila mtoto wa Mungu anayetamani kuishi katika mapenzi na ahadi za Mungu.
Tunaangalia:
Maana ya kuwa na Uaminifu
Maandiko yanayoeleza kusudi la darasa hili
Mfano wa Yusufu alivyofaulu katika mtihani wa Uaminifu
Akani alivyoshindwa Uaminifu na matoleo yake
Hili ni darasa la kuinua imani yako na kukuandaa kwa yale makubwa Mungu amekuandalia. Usikose kujifunza jinsi ya kuwa Mwaminifu katika maisha ya kila siku.
Tafadhali like, shiriki, na jiandikishe (subscribe) kwa mafundisho zaidi yenye kuimarisha roho yako.
#ShuleYaMung
#uaminifu
#faithfulness
#befaithful
#godisfaithful
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: