Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KWAYA YA UMAKI KANISA KUU LA UTATU MT.MOROGORO

Автор: Rev.Can.Wilson Mafumbi

Загружено: 2025-12-03

Просмотров: 136

Описание:

Ibada ya Shukurani Maadhimisho ya miaka 60 ya kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu Morogoro 1965- 2025

la Dayosisi ya Morogoro.     

HISTORIA FUPI YA KANISA KUU LA UTATU MTAKATIFU MOROGORO

  Kanisa hili lilijengwa na Wamisionari miaka ya 1920, wakati likiwa chini ya Dayosisi ya Central Tanganyika. Jengo jipya la Kanisa la Utatu Mtakatifu lilifunguliwa tarehe 7 Agosti mwaka 1960 na Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika  Baba Askofu Alfred Stanway.

Kanisa lilipanuliwa na kuliongeza upana pande zote mbili kuanzia mwaka 1992 wakati wa Askofu Dudley Mageni. Upanuzi huo ulifanya kaburi la Askofu Yohana Omari kuwa ndani ya kanisa, hapo awali lilikuwa nje ya kanisa upande wa kushoto unapoingia kanisani.

 Sinodi ya kwanza ya Dayosisi iliyofanyika tarehe 1 Desemba 1965 siku ya Jumatano,Sinodi hii ilifanyika Shule ya Biblia Morogoro katika Kanisa la Emmanueli iliamuakuwa Kanisa la Utatu Mtakatifu Morogoro kuwa Kanisa Kuu  (Cathedral)

Akiandika katika Gazeti la Upanga wa Roho toleo la Oktoba 1960 Pasta wa Mtaa wa Morogoro wakati huo Kasisi Richard Kadege alisimulia hivi:

Rev. Canon Richard . A. Kadege

Mnamo tarehe 7 ya Mwezi wa Agosti tulikuwa na furaha ya ajabu sana ya kufurahia sikukuu ya kufunguliwa kwa kanisa letu jipya, linaloitwa “Utatu Mtakatifu” (Holy Trinity).

Kuanzia siku ya Jumamosi wageni mbalimbali walianza kufika. Pia wageni maarufu wa mji walialikwa wengi kati ya hao wageni wengine pia ambao ni maarufu walikuwapo Maaskofu ambao walikuwa wanne, kwanza Askofu wa Uaskofu huu Alfred Stanway na Yohana. M. Omari Askofu wa Ukaguru na Unguu, F. H. Olang’ Askofu wa Maseno, Kenya, na Askofu Mhindi aliyetoka Bara Hindi ya Kusini ambaye ni wa Kanisa la Mar Thoma.

Zilifika Kwaya tatu, ya kwanza ilitoka Ibwaga Kongwa, ya pili Zoisa, ya tatu Ukagulu.  Hivyo Kanisa lilijaa wageni ambao idadi yao inafika kama mia tano na wenyeji ambao walikaa nje walikaribia mia tatu. Hivyo Kwaya ziliimba nyimbo zao ambazo zilikuwa za Neno la Mungu.

Ibada ilianza saa tatu na nusu asubuhi na Baba Mheshimiwa katika Mungu baada ya kuombwa na wazee afungue Kanisa alikubali kufanya hivyo, Askofu wa Uaskofu huu Alfred Stanway alianza kwa kugonga mlango, yaani kupiga hodi na fimbo yake ndipo wazee walimfungulia mlango. Yeye na Maaskofu wengine na Makasisi wakaingia, jumla ya Makasisi waliohudhuria ni kumi na sita pamoja na Maachideacon watatu.

Hapo Askofu Alfred Stanway alianza kubariki kila mahali mle Kanisani ambapo Ibada ya Mungu itakuwa ikifanywa, na baada ya kubariki ndipo Kwaya ya Zoiza iliimba wimbo wa kumkaribisha Askofu kwa mahubiri yake na neno lake lilikuwa Luka 19:46b. Lisemalo “Nyumba yangu itakuwa nyumba ya Sala,” hivyo Bwana akatufunulia mengi katika maisha yetu na jinsi tulivyoweza kuitimiza nyumba yake na kuiheshimu.

Askofu Alfred Stanway aliendelea kwa Kiingereza na Askofu R. Olang’ akatafsiri kwa Kiswahili, na tuliweza kupokea Baraka za ajabu, shukrani kwa wote ambao walichukua mzigo wa kuiombea siku ile Mungu azidi kusema na watu wake katika nyumba yake.

R. A. Kadege

Pastor wa Mtaa wa Morogoro

Tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Morogoro, Kanisa hili limekuwa ndilo Kanisa Kuu la Dayosisi. Tarehe 30 Novemba 1965 Dayosisi ya Morogoro ilipoanzishwa rasmi; Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu limekuwa chini ya Uongozi wa Baba Maaskofu wafuatao (Dean wa Kanisa Kuu) Baba Askofu Gresford Chitemo 1965 – 1987, Baba Askofu Dudley Mageni 1987 – 2008, na Baba Askofu Godfrey Sehaba  kuanzia 2008….

Makasisi Viongozi waliohudumu Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu kuanzia mwaka 1965 ni: Kasisi Sifael Mauludi, Kasisi Canon  Richard Kadege, Kasisi Lesilei Chidoge 1970 – 1975, Kasisi Canon Charles Almodad Munga 1976 – 1979, Kasisi Kenedy Kisanga 1980 – 1981, Kasisi Canon Isaka Msegu 1982 – 1988, Kasisi Canon Yeremia Malekela 1989 – 1991, Kasisi Canon Fanuel Makau 1991 – 1994, na Kasisi Canon Yeremia Malekela 1995 – 1998. Wengine ni Kasisi Canon Lupyana Mgimba 1998 – 2006, Kasisi Canon Stephano Machila 2006 – 2008, Kasisi Canon Charles Almodad Munga 2008 – 2010, Kasisi James Mligite 2010 – 2013, na Kasisi Frederick Stephen Chingwaba 2013, Kasisi Canon Peter Mkengi mpaka Sasa. Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu lipo Morogoro Mjini.

KWAYA YA UMAKI KANISA KUU LA UTATU MT.MOROGORO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

JGM KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 KANISA KUU MOROGORO

JGM KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 KANISA KUU MOROGORO

“KILAKALA” - A Village Within the City of Morogoro | Tanzania is Blessed 2024 | 4K Quality

“KILAKALA” - A Village Within the City of Morogoro | Tanzania is Blessed 2024 | 4K Quality

Kasulu-kwaya ya MAC MURUSI ANGLICAN

Kasulu-kwaya ya MAC MURUSI ANGLICAN

Muimbaji Wa Injili Amtupia Maneno Mazito Raisi Samia Asema Ni Aibu Kubwa Kusema Wewe Ni Raisi Wetu

Muimbaji Wa Injili Amtupia Maneno Mazito Raisi Samia Asema Ni Aibu Kubwa Kusema Wewe Ni Raisi Wetu

Ndio mapigo 7 tokea kigoma hatari sana katika kucheza asili ya kabila la waha

Ndio mapigo 7 tokea kigoma hatari sana katika kucheza asili ya kabila la waha

Kwaya ya Esubati ikiimba kwenye ibada ya kuwekwa wakfu Askofu wa pili wa Dayosisi ya Kiteto

Kwaya ya Esubati ikiimba kwenye ibada ya kuwekwa wakfu Askofu wa pili wa Dayosisi ya Kiteto

🇩🇪БЕГСТВО из ЕС в РФ🇪🇺🇪🇺🇪🇺 Европа в ШОКЕ😱Россия спосает семью из Германии

🇩🇪БЕГСТВО из ЕС в РФ🇪🇺🇪🇺🇪🇺 Европа в ШОКЕ😱Россия спосает семью из Германии

Vijana wa Kitanzania watengeneza ndege 9 kwa mikono yao

Vijana wa Kitanzania watengeneza ndege 9 kwa mikono yao

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WA MAJIRA YA BARAKA MONDULI MJINI DAY 5-MWINJILISTI YOHANA MPONGO

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WA MAJIRA YA BARAKA MONDULI MJINI DAY 5-MWINJILISTI YOHANA MPONGO

Morogoro-Mgeta-Nyandira. Mwanafunzi akitembea umbali mrefu kwaajili ya kuitafuta elimu. Part1

Morogoro-Mgeta-Nyandira. Mwanafunzi akitembea umbali mrefu kwaajili ya kuitafuta elimu. Part1

KIMENUKA!: ASKOFU BAGONZA AIJIBU HUTOBA YA RAIS SAMIA TUNAOSHAURI KWA NIA NJEMA TUMEITWA NI MAKAFIRI

KIMENUKA!: ASKOFU BAGONZA AIJIBU HUTOBA YA RAIS SAMIA TUNAOSHAURI KWA NIA NJEMA TUMEITWA NI MAKAFIRI

Он помог женщине, не зная, что она судья, держащая его судьбу в своих руках.

Он помог женщине, не зная, что она судья, держащая его судьбу в своих руках.

JUMAPILI YA CA's |  05.10.2025 - 2

JUMAPILI YA CA's | 05.10.2025 - 2

kwaya ya Jerusalem  Yohana Mt.Gairo

kwaya ya Jerusalem Yohana Mt.Gairo

Safari ya Treni Kigoma mpaka   Dar es Salaam Camera  📸 by said Nasser Al ESRY16/7/202

Safari ya Treni Kigoma mpaka Dar es Salaam Camera 📸 by said Nasser Al ESRY16/7/202

RAIS SAMIA AWALIPUA MAASKOF WA TEC, HAMNA MAMLAKA ,NCHI INAONGOZWA KIKATIBA MATAMKO 8 MMENITOLEA

RAIS SAMIA AWALIPUA MAASKOF WA TEC, HAMNA MAMLAKA ,NCHI INAONGOZWA KIKATIBA MATAMKO 8 MMENITOLEA

MOROGORO ya waka moto migogoro ya wakulima na wafugaji.

MOROGORO ya waka moto migogoro ya wakulima na wafugaji.

Baba Askofu Godfrey Sehaba.             USIPAMBANE NA MABADILIKO

Baba Askofu Godfrey Sehaba. USIPAMBANE NA MABADILIKO

Mime chant Remerciement _Première messe Solennelle_Rèv. Père Mackenson Jacinthe_30_11_2025

Mime chant Remerciement _Première messe Solennelle_Rèv. Père Mackenson Jacinthe_30_11_2025

Tanzania Kigoma town with #roadranger

Tanzania Kigoma town with #roadranger

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]