JT RAF_AMEAMUA
Автор: PRODUCER JT RAF .356k views.3hrs ago
Загружено: 2025-09-13
Просмотров: 5442
[Chorus]
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
(Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki)
[Break]
[Verse1]
Ameamua kubadilisha jina langu,
Na kuniokota mimi,
Wenye masimango,
Mko wapi sasa?
Na ni nani?
Awezaye kupinga?
Amesema wewe zakayo
Shuka chini,
Leo nakula kwako,
Wokovu wakuja upesi kwako,
Ni nani atazuiya
[Chorus]
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
(Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki)
[Break]
[Verse2]
Leo naenda hatuwa nyingine,
Mungu ameshasema,
Akuna wa kunipinga mimi,
Ameshanipa nguvu,
Nitasherekeya upendo wake,
Pamoja na nderemo,
Lazima vyumbe vyote vikiri,
Kuwa Mungu ni muweza
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
(Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki
Ameamua,
Kunibariki,
Yehova ameamua leo,
Kunibariki)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: