Enyi watu wa Galilaya. By J. D. Mkomagu.
Автор: Kaimbe Swahili Catholic songs
Загружено: 2023-05-14
Просмотров: 8589
0:00 Sauti ya Kwanza
0:45 Sauti ya Pili
1:30 Sauti ya Tatu
2:14 Sauti ya Nne
2:59 Sauti Zote
3:58 Shairi
Enyi watu wa Galilaya, mbon mwashangaa mkitazama mbinguni,
mlivyomwona akienda zake mbinguni, hivyo ndivyo, atakavyorudi Aleluya.
MASHAIRI
1. Basi enendeni ulimwenguni kote, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu.
2. Na tazama mimi, nipo pamoja nanyi, siku zote hata ukamilifu wa da---hari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: