BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI SABASABA LAVUTIA WATU WENGI.
Автор: MFA_Tanzania
Загружено: 2023-07-07
Просмотров: 181
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiwahudumia wananchi wa ndani na nje ya nchi waliojitokeza kwa wingi kutembelea banda ka wizara hiyo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: