KONGAMANO LA MABINTI | Pastor Anni Kaleb
Автор: Mwl. Teddy E.M Kwilasa
Загружено: 2024-12-09
Просмотров: 198
Kongamano la Mabinti Live Stream | Mwl. Teddy E.M Kwilasa | Delux Sinza
Jiunge nasi kwa mubashara kwenye kongamano la kipekee la mabinti linalofanyika hapa Delux Sinza! Tutaungana kwa pamoja katika NENO, maombi, kusifu na kuabudu huku tukifungua mioyo yetu kwa neno la Mungu kupitia Zaburi 23:3.
Usikose, pokea baraka na uinuke katika imani!
#Mabinti #LiveStream #MwlTeddyKwilasa #DeluxSinza #Maombi #KusifuNaKuabudu #Zaburi23
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: