TUFUNUWE KITABU (SILSILA 8): Babu: I Saw the Future and It Works
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2021-10-31
Просмотров: 10008
Profesa Abdulrahman Mohamed Babu alikuwa mmoja kati ya wanasiasa mashuhuri wa Zanzibar, ambao fikra zake ziliwaathiri wanasiasa wengi wakubwa na wadogo wa zama zake lakini - kama ilivyo kwa wanasiasa wengine wa aina yake - si mengi yanayofahamika miongoni mwa vijana wa sasa kumuhusu. Ismail Jussa anatupitisha kwenye kitabu cha 'Babu: I Saw the Future and It Works' kilichohaririwa na Marehemu Profesa Haroub Othman kikikusanya maandishi ya mwenyewe Profesa Babu na wasomi wengine.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: