Serikali yaokoa bilioni 600 ujenzi wa reli ya kisasa Tabora -Kigoma
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-05-10
Просмотров: 959
Serikali imesema ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Tabora hadi Kigoma ulifuata sheria ya manunuzi ya umma na hakuna hasara yoyote iliyotokea na gharama zilizotolewa zilijadiliwa kwanza na wakaokoa zaidi ya shilingi bilioni 600.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: