🔴BIL 37 KUJENGA CHUO KIKUU CHA MUHIMBILI KIGOMA/DR.SAMIA AFUNGUA POCHI.
Автор: Smile Media
Загружено: 2023-12-21
Просмотров: 832
Serikali ya awamu ya sita chini yake Dr.Samia Suluhu Hassan imejipanga kuufungua Mkoa wa kigoma.
akizungumza na wana Kigoma Mkuu wa wilaya hiyo Salum Kalli, amesema Dr.Samia,ametenga Bil.37,ili kufanikisha ujenzi wa chuo kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili kwa Mkoa wa kigoma.
akitoa rai kwa wakazi wa Kigoma Mh.Kalli amesema wananchi wajitahidi kuilinda mirambi mbali mbali inayoletwa Wilaya ya kigoma.
#kazi #ccmimara #ikulumawasiliano #simbasc #diamondplatnumz #habarimpya #kitengetv #sisi #mpenjatv #yangasc #love #viral #african #wildlife #quotes #kazi #sisi #like #ccm #habarimpya #edit #nature #reaction #reels #religion #marioo #quotes #reaction #edit #wildlife #wasafitv #gaming ##breakingnews @smile media update.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: