"NILIANZA NA 800 MTAJI, NIKATEMBEA KWA MIGUU MWANZA HADI DAR KWA WIKI 4, VIJANA WA LEO WASIOGOPE"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-04-08
Просмотров: 11918
Shija Ulaya ni mfanyabishara wa muda mrefu na katika historia ya maisha yake ni Mtanzania ambae amewahi kutembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi Dar es salaam zaidi ya kilometa 1,600 kwa muda wa wiki (4) akihofia kupunguza sehemu ya mtaji wake wa biashara alioanza kuifanya ambapo hadi leo imemfanya kuwa mfanyabiashara maarufu kwa jina Vunjabei
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: