POLISI SINGIDA YAJIIMARISHA KULINDA RAIA MSIMU WA KRISMAS ,MWAKA MPYA
Автор: KINDAI PLUS
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 153
Katika kuelekea msimu wa sikukuu za Chrismass na mwaka mpya, jeshi la polisi Mkoni Singida limewataka madereva, watumiaji wa barabara wananchi pamoja na kumbi za starehe kuhakikisha wanakuwa watulivu kwa kuzingatia sheria zilizopo ili kuhakikisha sikukuu huzo zinapita pasipo na matukio ya uvunjifu wa sheria
Akizungumza na mara baada ya kutembelea kituo kikuu cha mabasi kilichopo Misuna Mkoani Singida, kamanda wa Polisi mkoa huu kamishna msaidizi wa polisi SACP. Amon Kakwale amesema jeshi hilo limejipanga vyema kuwachukulia hatua za kiesheria hususan madereva wa mabasi na kuwapima kabla ya kuanza safari.
Kindai Plus ni television ya mtandaoni inayotoa maudhui ya habari,michezo,burudani,siasa na matukio ya kijamii yanayojili duniani
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: