Mtoto wa mwaka 1 afariki Songea kwa kufunikwa na nguo Kamanda wa polisi athibitisha.
Автор: Site Tv Online
Загружено: 2025-02-27
Просмотров: 555
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mtoto mmja anayefahamika kwa majina ya Catherine Gama mwenye umri wa miaka 12 baada ya kutokea kifo cha mtoto Christian Nchimbi mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 2 amabye alikutwa amefariki kwa kufunikwa nguo kwenye chumba chake tukio ambalo limetokea katika Kijiji cha Namihoro kata ya Peramiho wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: