#TBC1
Автор: TBConline
Загружено: 2024-11-19
Просмотров: 1660
Leo Kipindi hiki Cha Wekeza Tanzania kinakufungulia fursa ya kuwekeza kwenye hati fungani ya Bondi Yangu ya Azania Banki Kwa kukuletea wataalam wa uwekezaji kukupa elimu sahihi ya namna ya kuwekeza kwenye hati fungani na faida zake.
Wekeza Tanzania ni Kila jumanne saa 12:00 jioni na marudio Jumatano 7:30 mchana na kwenye ukarasa ya YouTube wa TBCONLINE
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji- Neligwa Muggitu
Mdhamini- Azania Bank
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: