SHULE YA JITEGEMEE YAJA KIVINGINE/WAZAZI WAKARIBISHWA KUJIONEA MAPINDUZI MAPYA.
Автор: SUMAJKT TV
Загружено: 2025-08-26
Просмотров: 1165
Shule inawatangazia
1. Nafasi za Kidato cha kwanza 2026
2. Nafasi za Kidato cha Tano 2025/2026
3. Nafasi ya kuhamia kidato cha pili, Tatu na Tano
4. Nafasi ya kurudia Mitihani ya kidato cha Nne na Masomo ya QT Miaka 2 na Form V na VI mwaka mmoja.
NB: Shule ni ya kutwa na Bweni na Ada zetu ni Nafuu sana.
Tupo Mgulani JKT Wilaya ya Temeke, Dar es salaam.
Mawasiliano, Tupigie
0784 275 669
0749 401 112
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: