BREAKING NEWS: Mahakama Kuu Z'bar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 8420
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeamua kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo kwa kuwa mamlaka hayo yamo mikononi mwa Mahakama Kuu ya Tanzania (Bara). Sikiliza Gumzo la Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo na wakili wa kesi hizo, Omar Said Shaaban. Nini maoni yako?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: