TASAC ILIVYOSAIDIA KUPUNGUZA VIFO VYA WAVUVI CHATO
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2025-11-18
Просмотров: 22
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya Chato limeendelea kutoa elimu ya usalama majini hatua ambayo imesaidia kupunguza vifo vya wavuvi vitokanavyo na ajali za majini ndani ya wilaya hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: