Waridi Wa BBC: Mume wangu ana umri zaidi ya wazazi wangu
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2021-02-26
Просмотров: 14971
Ciru Njuguna na Greg Twin ni wanandoa tangu mwaka wa 2012 waliowachana kiumri kwa zaidi ya miaka 30.
Twin ambaye asili yake ni Ujerumani ana miaka 61 na amewazidi umri wazazi wote wawili wa Ciru.
Ungana na mwanahabari Anne Ngugi kupata simulizi kamili.
#WaridiWaBBC
#CirunaGregTwin
#Ndoa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: