Waridi wa BBC: 'Sikudhani ningetoka hospitalini nikiwa hai'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2020-12-02
Просмотров: 3382
Jahmby Koikai ni miongoni mwa wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa endometriosis tangu alipokuwa na miaka 13 alipoanza kupata hedhi.
Bi. Koikai ametipitia changamoto nyingi ili kutafuta suluhu ya hali hiyo.
Sasa anaendelea vyema na anatumai kutimiza ndoto zake maishani.
#bbcswahili #wanawake #Kenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: