WANANCHI HANDENI WATOA MAAGIZO MAZITO KWA WATIA NIA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-08-24
Просмотров: 1308
Wananchi wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga wametaja vipaumbele wanavyotaka wafanyiwe na wagombea ubunge walioteuliwa kugombea nafasi endapo watapita kwenye uchaguzi mkuu.
Wananchi hao wamesema kuwa kila kiongozi anakipaumbele chake ila shida kubwa kwao wanazijua wenyewe,hivyo kutuma ujumbe kwa mgombea ubunge Handeni mjini Reuben Kwagilwa na Handeni Vijijini John Sallu kuwa wanataka nini kifanyike...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: