VIJANA KYERWA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPA FURSA
Автор: KYERWA DC
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 12
Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa wanaoshiriki katika Maonesho ya bidhaa mbalimbali katika maadhimisho ya tamasha la Ijuka Omuka linaendelea kufanyika Mjini Bukoba, waishukuru Serikali kwa kuwapa mikopo ya asilimia kumi na kuelezea furaha yao ya kuwezeshwa kushirika katika maonesho hayo na kupata fursa ya kukutana na watu mbalimbali.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: