ZINGATIENI SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI
Автор: KYERWA DC
Загружено: 2025-10-26
Просмотров: 283
Katika ufunguzi wa semina ya Wasimamizi, na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura iliyofanyika Oktoba 26, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri, Mwl. Ramadhani Marwa amewaasa Washiriki hao Kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ambazo watapewa katika mafunzo hayo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: