Kenya vs Tanzania? Zuchu Asema Hapana Kwa Collabo – Wakenya Wamfurumusha TikTok!
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-06-07
Просмотров: 137167
Msanii maarufu wa Bongo Fleva Zuchu amezua mjadala mkubwa baada ya kusema hatofanya collabo na msanii yeyote kutoka Kenya 🇰🇪 hadi Wakenya wamemuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania 🇹🇿! Kauli yake imezua hisia kali kwenye mitandao ya kijamii, hasa TikTok, ambako Wakenya wamejitokeza kwa wingi kumjibu kwa kejeli, hasira na ucheshi.
Katika video hii, tunakuletea kauli nzito ya Zuchu, majibu ya Wakenya kwenye TikTok, na tathmini ya mvutano huu unaotikisa usanii wa Afrika Mashariki. Je, huu ni mgogoro wa kisiasa, kiburi cha msanii au ni njia ya kutafuta kiki? Tazama hadi mwisho na uamue!
👉 Usisahau kusubscribe MIZUKA MEDIA kwa habari moto moto za mastaa, muziki, drama na mitandao ya kijamii kutoka Kenya na Tanzania.
#ZuchuVsKenya
#WakenyaWamjibuZuchu
#KenyaVsTanzaniaMusicBeef
#ZuchuSamiaSuluhu
#BongoFlevaDrama2025
#MizukaMedia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: