Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Boss aliyejifanya amefariki ili apime tabia za watoto wake

Автор: CHASIMBA

Загружено: 2025-11-15

Просмотров: 4291

Описание:

Boss aliyefanya amefariki ili apime tabia za watoto wake ajue yupi ni muaminifu.

Hadithi hii inasimulia maisha ya boss tajiri ambaye anajifanya amefariki ili kupima tabia za watoto wake baada ya kuona wamekosa heshima, upendo na maadili. Ni simulizi yenye msisimko wa hali ya juu, huzuni, mageuzi ya tabia, uhaini, msamaha, na safari ya watoto watatu wanaogundua thamani ya familia, urithi wa utu na nguvu ya upendo. Kupitia majaribu, umasikini wa ghafla, aibu, magumu ya maisha na mafunzo ya baba yao, wanapitia mabadiliko makubwa kutoka tamaa na kiburi hadi kuwa watu wenye maadili na heshima. Hadithi hii inaacha funzo kubwa kuwa mali huisha, lakini maadili na upendo wa familia ndiyo urithi wa kudumu.
Hadithi hii ni hadithi ya kufikirika niliyoiandika mimi mwenyewe ili kuleta funzo na elimu kwa jamii
msimuliaji wako ni mimi chasimba karibu sana.

Hapa tunasimulia hadithi zenye mafunzo, mapenzi yenye majonzi na furaha, mahusiano yanayovunjika na kujengwa tena, na visa vya ajabu vya majini, mapepo, na ulimwengu wa giza usioelezeka. Kila simulizi lina mguso wa kipekee, wa kusisimua na wenye mafundisho ya maisha.

👂Usikose kila hadithi — bonyeza subscribe, like na comment ili kusapoti chaneli yetu!

https://www.instagram.com/chasimba_u2...

  / 1dbvltshah  

#HadithiZaMapenzi
#SimuliziZaKweli
#DramaZaMapenzi
#VisaVyaAjabu
#Mahusiano
#HadithiZaMajini
#Chasimba
#MaishaYaWatu
#StoryTeller
#KiswahiliStories #HadithiZaKiswahili #DramaZaMaisha
#HadithiZaKweli
#KisaChaMaumivu #SimuliziZaUsaliti

Boss aliyejifanya amefariki ili apime tabia za watoto wake

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Msichana Maskini Alimsaidia Mwanaume Mmoja, Lakini Hakutarajia Atakuwa Bilionea na Kumpenda

Msichana Maskini Alimsaidia Mwanaume Mmoja, Lakini Hakutarajia Atakuwa Bilionea na Kumpenda

ANABIDI AISHI NA MAITI YA BABA YAKE KWA MASHARTI YA SHETANI MPAKA AWATOE MACHOZI MISUKULE INAYOISHI.

ANABIDI AISHI NA MAITI YA BABA YAKE KWA MASHARTI YA SHETANI MPAKA AWATOE MACHOZI MISUKULE INAYOISHI.

MAMA ANATAZA TV ANAMUONA BINTI YAKE AMESHIKA BANGO ANAANDAMANA POLICE NA MABUNDUKI

MAMA ANATAZA TV ANAMUONA BINTI YAKE AMESHIKA BANGO ANAANDAMANA POLICE NA MABUNDUKI

Alimtukana na kumdharau mumewe kisa masikini na kuolewa na tapeli

Alimtukana na kumdharau mumewe kisa masikini na kuolewa na tapeli

MGENI WA AJABU KUINGIA KATIKA KIJIJI CHA WASHANGAAJI.

MGENI WA AJABU KUINGIA KATIKA KIJIJI CHA WASHANGAAJI.

boss aliyejifanya masikini ili kumpima mkewe | hadithi ya chasimba

boss aliyejifanya masikini ili kumpima mkewe | hadithi ya chasimba

BINTI ANAYEDHARAULIKA KIJIJINI ANAMUOKOA MTOTO WA MFALME PORINI

BINTI ANAYEDHARAULIKA KIJIJINI ANAMUOKOA MTOTO WA MFALME PORINI

BINTI ANAFUNGA NDOA NA MAITI KISA MAITI INAMILIKI PESA NYINGI SANA...LAZIMA ITAKUSHANGAZA SANA

BINTI ANAFUNGA NDOA NA MAITI KISA MAITI INAMILIKI PESA NYINGI SANA...LAZIMA ITAKUSHANGAZA SANA

ALIMFUKUZA OMBAOMBA AKIDHANI NI MCHAWI... KUMBE NDIYE ALIYEKUWA AMEBEBA BAHATI YAKE.(TanzaniaTales)

ALIMFUKUZA OMBAOMBA AKIDHANI NI MCHAWI... KUMBE NDIYE ALIYEKUWA AMEBEBA BAHATI YAKE.(TanzaniaTales)

Nyota ya Afisa Mdogo - Ilizimwa na Bakuli Moja la Chakula na Simu ya Siri ya Bibi!

Nyota ya Afisa Mdogo - Ilizimwa na Bakuli Moja la Chakula na Simu ya Siri ya Bibi!

“Naweza Cheza ili Nipate Chakula?? Walimcheka  Binti asiye na Makazi  Bila kujua yeye ni 🌟🎶”

“Naweza Cheza ili Nipate Chakula?? Walimcheka Binti asiye na Makazi Bila kujua yeye ni 🌟🎶”

Alimkana Mumewe Hadharani Sababu Ya Umasikini Alimkimbia na Kwenda Kwa Mwanaume  Tajiri Kilichomkuta

Alimkana Mumewe Hadharani Sababu Ya Umasikini Alimkimbia na Kwenda Kwa Mwanaume Tajiri Kilichomkuta

Watu Walimdharau Wakidhani Hana Akili, Kumbe Ni Genius wa Kipekee

Watu Walimdharau Wakidhani Hana Akili, Kumbe Ni Genius wa Kipekee

MSICHANA MWENYE SIKIO MOJA LA AJABU Huwezi amini anayoyafanya full part 2

MSICHANA MWENYE SIKIO MOJA LA AJABU Huwezi amini anayoyafanya full part 2

Masikini Aliyemsaidia Bilionea Chakula Baada ya Kukwama Porini

Masikini Aliyemsaidia Bilionea Chakula Baada ya Kukwama Porini

Jenerali Mwanamke - Adhalilishwa Mbele ya Mwanawe - Siri ya Shajara Yafichuka!

Jenerali Mwanamke - Adhalilishwa Mbele ya Mwanawe - Siri ya Shajara Yafichuka!

Mshikaji alisaidiwa lakini alipotajirika alikuwa na dharau sana!

Mshikaji alisaidiwa lakini alipotajirika alikuwa na dharau sana!

Binti Wa Bilionea Alimsukuma Kwenye Shimo la Takataka Mama Masikini Na Kumcheka | Kilichomtokea...

Binti Wa Bilionea Alimsukuma Kwenye Shimo la Takataka Mama Masikini Na Kumcheka | Kilichomtokea...

MTOTO wa BILIONEA aliyepooza MIGUU anaponywa na binti mdogo maskini #folktales

MTOTO wa BILIONEA aliyepooza MIGUU anaponywa na binti mdogo maskini #folktales

Alimkuta Mama Mjamzito na Kumsaidia Kumbe Ni Jini 🤭

Alimkuta Mama Mjamzito na Kumsaidia Kumbe Ni Jini 🤭

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]