SMART TALK: Unahitaji mafunzo gani na shule ipi ili kuwa rubani wa ndege? Captain Brian ana MAJIBU
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2019-06-18
Просмотров: 24193
Urubani wa ndege ni moja kati ya kazi nadra sana. Ili kuweza kupaisha ndege angani, ni mafunzo gani yanayohitajika? Haya ni maswali ambayo kwenye #SmartTalk hii yanajibiwa kwa ufasaha na Captain Brian Wamala. Ungana nasi
Unaweza pia Kusubscribe kwenye channel ya Youtube ya Brian kujionea awapo angani: / @adventureswithbrian
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: