Walanguzi wa korosho wapigwa marufuku Mtwara
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-09-20
Просмотров: 255
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara imepiga marufuku walanguzi walioanza kununua korosho kwa wakulima nje ya utaratibu wa stakabadhi ghalani, ambapo msako umeanza kuwabaini wanaokaidi.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Tuya Ibrahim
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: