VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO KUJENGWA MARANJE MTWARA
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2023-06-02
Просмотров: 261
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), imesema inatarajia kuanzisha kongani la Viwanda vya kubangua Korosho katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji wa Nanyamba Mkoani Mtwara, vitakavyokuwa na uwezo wa kubangua zaidi ya Tani Laki Tatu.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi hiyo Francis Alfred amezungumza hayo leo Juni 2, 2023 katika Jukwaa la Maendeleo ya Ushirika Mkoa wa Mtwara, na kuongeza kuwa Bodi inatoa kipaombele kwa mikoa ya Mtwara na Lindi katika uwekezaji huo kutokana na kuwa ndio vinara wa uzalishaji wa zao hilo.
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU Khomein Tv YOUTUBE UWE WAKWANZA KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: