kilimohalisi, wakulima tunapata stori za mkulima wa zamani
Автор: KILIMO HALISI
Загружено: 2024-11-13
Просмотров: 98
Mfumo huu wa umwagiliaji toka@@kilimohalisi unakufikia mkoa wowote kwa 15000 bila dumu. ,,,ikiwa na dumu lake ni 18000
Leo tujichangamshe kidogo,,,, kilimo sio vita ni maisha yetu ya kilasiku bila kilimo hatuna chakula wakuu njaa inaua ,,lakin kilimo ni ajira fwatilia matajiri wengi unao wajua wapo shambani hadi viongozi wakubwa
Nawakumbusha huu ndo mda wa kuotesha,,,nyanya,,hoho,,mwendokasi,,cabbage lazima ukutane na pesa Miche ipo simu ziite
Bei ya Miche ni
Mboga za majani 50
Hoho, bilinganganya,nyanya chungu, 100
Papai , passion , Pera,,,2500
Embe,, parachichi 5000
Fundi atakufata site
Whatsup 0652553944
Tunapenda kukukumbusha yafuatayo
1. Utajiri wako mkubwa ni afya Yako
2.Mipango mingi tunayoipanga Ili ikamilike inategemea afya zetu
3.sikuhizi zama zimebadikika sio kila anae kuzalishia chakula ni mstaarabu,, wengine wanapiga dawa Leo kesho anavuna
4.kuwa na bustani nyumbani ni hali ya kujali afya Yako kwa kiwango kikubwa na kujua thaman Yako
5.Kwenye kitu chochote tusiwe wepesi wa lawama bali tunatakiwa kuchukua hatua hatuna Mtu wa kumlaimu zaidi ya kuchukua hatua kabla mambo hayajabadilika.
6.Sahv imekuwa kawaida magonjwa ya Figo,,ini,kisukari,,moyo ,,mapafu kutupata na hii ni huchangiwa na ulaji mbovu ,,,kutokufanya mazoezi na aina ya maisha tunayoishi.
7.Ukiweza kutambua vyakula sahihi unavyo paswa kula hiyo ni hatua nzuri kiafya kwani chakula ni dawa endapo utapangilia na kufanya machaguzi sahihi
8.Kilimo ni kitupekee kinachoweza kukupa pesa, afya bora,,,,kikakuondolea njaa na umasikini kwa mkupuo
9.Barani Africa tumebarikiwa ardhi na hali ya hewa nzuri itakayo kuwezesha kuzalisha chakula msimu mzima ,,,Kuna nchi mda mwingi ni barafu hivyo gharama za kuzalisha chakula chakula ni kubwa kuliko kununua.
10.Tumebahatika kuishi ardhi ambayo kila mmea unafanya vizuri
11.wengi hufikiri kazi ya bustan ni chakula na kipato ,, kumbe Ata afya Yako ya akili inakuwa salama unapokuwa karibu na Mimea inayokutegemea wewe
12.Tunahitaji kushirikiana kuwashawishi vijana wapende kilimo kwani ndo taifa la Leo na kesho matokeo ya Sensa yanaonesha kundi kubwa ikiwa ni vijana na asilimia kubwa hawana ajira
Ayee@@kilimohalisi@@elimuyakilimoasili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: