Hadithi ya mghani ushairi kutoka kisiwani Pemba - Salma Yahya Iddi | GG PODCAST
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2023-06-17
Просмотров: 1291
Bi Salma hakusomea utiaji na upangaji sauti lakini ni fundi asiye shaka kwenye kughani tungo. Leo tunazungumza naye akiwa kwao Mkungu Malofa, Chake Chake, kisiwani Pemba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: