Nondo Za Dr. Garvin Kweka | HAUTOJUA KIWANGO CHA NGUVU ULIZONAZO HADI UTAKAPOFAHAMU HAYA (Part 1) 💡
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-08-25
Просмотров: 29200
🔑 Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine unahisi huna nguvu ya kusonga mbele, kufanya kazi zako kwa bidii au kufanikisha ndoto zako? 🤔
Dr. Garvin Kweka anafichua namna maumivu ya ndani na changamoto za maisha yanavyoweza kuathiri nguvu zako za kiakili, kimwili na kimaisha bila wewe kujua.
👉 Katika video hii (Part 1), utagundua:
✅ Jinsi maumivu yasiyotibika yanavyoweza kukuvunja nguvu.
✅ Siri za kufahamu na kuokoa nguvu ulizonazo.
✅ Hatua za awali za kurejesha ari na uwezo wako wa kufanikisha mambo makubwa.
👉 Tazama hadi mwisho na usisahau KUSUBSCRIBE H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo!
💬 Tunathamini maoni yako. Jiunge na mjadala na ushiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media
⚠️ Angalizo: Maudhui haya yamelenga kutoa elimu ya jumla kwa jamii pana. Ni jukumu la mtu binafsi kufanyia kazi mbinu zinazoendana na muktadha wake.
#Afya #Akili #Mahusiano #Dr #Garvin #Kweka #Muhimbili #Saikolojia #thewisetz #wisdom #Tanzania #Kenya #Zanzibar #Congo #Rwanda #Upendo #WanawakeWenyeThamani #NidhamuYaMahusiano
#Stress #MaumivuYaNafsi #AfyaYaAkili #Kazi #Mahusiano #Maisha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: